Wednesday 21 March 2012

Ama kweli siku hizi mapenzi ni kama daladala, ukishuka tu, anapanda mwingine

Miezi mitatu baada ya wanandoa  Russel Brand  na Katy Perry kuachana, wawili hawa kila mtu kwa wakati ameonekana akiwa na mpenzi wake mpya. 
Russel akiwa na mpenzi wake mpya  ambae ni mwanamitindo raia wa Hungary; Nikolett Barabas.

Katy Perry nae inasemekana amepata kitu kipya Mwanamitindo raia wa ufaransa; Baptiste Giabiconi.
           Baptiste Giabiconi anaesemekana kua mpenzi mpya wa Katy Perry .
Yale mambo ya kukaa kumlilia mtu miezi, mwaka siku hizi hamna. Na sio kwa watu maarufu tu, kwa watu wengi iko hivi kwa sasa. Mtu anaachwa leo, anahuzunika wiki, wiki mbili baada ya hapo maisha yanaendelea. 

2 comments:

  1. ukizingua tu si twabeba shauri lako karagabao enhe!!

    ReplyDelete
  2. unaambiwa ww ukisema wa nini, wenzako wanasema ntampata lini

    ReplyDelete

Thank you for visiting our website

Wazoefu Computer Technology

Search This Blog

Please Share This

Thanks for Like and Tweet