Friday 23 March 2012

Kim Kardashian amwagiwa unga wa ngano kwenye red carpet

Kim Kardashian amwagiwa unga wa ngano akiwa kwenye red carpet siku ya uzinduzi wa parfyum yake huko West Hollywood marekani. Inasemekana mtu aliefanya kitendo hicho, ambae ni mwanamke alirusha unga huo huku akisema "this is for Kris Humphries". Kris Humfphries alikua mume wa Kim ambae walifunga ndoa ambayo ilidumu kwa miezi mitatu tu august 2011-october 2011. 
                                        Alipoingia
                                      akiweka pozi la picha 
                                  Baada ya kumwagiwa unga
dada anaedaiwa kumwagia unga Kim K akiwa kwenye gari la polisi
Baada ya kufanya tukio hilo dada aljaribu  kukimbia ila alikamatwa na kuachiwa baadae kwa kuwa Kim K hakumfungulia mashtaka. Kim alienda kujisafisha na kurudi kuendelea na shughuli yake kama kawaida. 
         Hapo ingekua star wa kibongo sasa...angetaka kupigana, kutukanana etc.

2 comments:

  1. Wee pangechimbika!!!!!Wangemjua zaidi kama yeye star, Bongo Nouma.

    ReplyDelete
  2. Ustaarabu ni silaha nzuri kuwa nayo! Tuigeni mazuri ya wenzetu wa huko majuu si kuiga kuvaa vichupi tu na kuvuta bange

    ReplyDelete

Thank you for visiting our website

Wazoefu Computer Technology

Search This Blog

Please Share This

Thanks for Like and Tweet