Familia Moja Nchini England imeamua kujenga nyumba yenye nightclub ndani ili kuwasaidia watoto wasiwe wanaenda nightclubs. Inasemekana nyumba hii imeigharimu hiyo familia kiasi cha Euro 1m ambazo ni sawa na 2.1 billions tshs.... Claire Farrow and Ian Hogarth from West Kensington wamesema wameamua fanya hivyo kwaajili ya kuwaepusha watoto wao na matatizo ya nightclubs za nje.
Huu ndo muonekano wa nyumba yenyewe "dream home" kwa Nje...
Hii ndo dance floor yenyewe ipo kwenye basement .
Tilly (miaka 12,katikati) akiwa ame invite wenzie siku ya ufunguzi wa nyumba hiyo. Tilly ni mtoto wa pili ,wakwanza ni Gil ambaye ana miaka 16 na anapenda kazi ya u'DJ. Waswahili wanasema tumia pesa ukuzoea !!!!
Hi hainogi jamani raha ya diso kuwe na watu wengi tena tofauti tofauti usio wajua mambo yakunetwork sidahnai kama hao watoto wanafurah kweli. Pesa hizi jamani
ReplyDeletekuna watu wanapesa za mchezo jamani
ReplyDeleteHao wazazi ni wajinga kabisaa maana watu wanaenda club kusociolize na kuhave fun labda hiyo iwe club kama lakasachika lol
ReplyDeleteFamily disco hatariiiiiii
ReplyDeleteKweli pesa ni sabuni ya roho,unaambiwa mwenye pesa siyo mwenzio!!
ReplyDelete