Sunday 6 May 2012

WATANZANIA WALIOCHAGULIWA KUSHIRIKI MASHINDANO YA BBA

HILDA




JULIO
Hawa ndo watanzania waliochaguliwa kwenda kushiriki mashindano ya Big Brother huko nchini south Africa imekua kama suprise maana watu wengi walifikiri ni mastaa fulani fulani hivi ndo wamechaguliwa kwenda unfortunatly ni hilda na julio. kwa bahati mbaya watu waliotangazwa kama automatic nomination na  IK  mc wa show hiyo ya BBA  ni mshiriki kutoka Tanzania na Zimbabwe.. atakae pata kura chache kwenye mashindano ya jumapili ya week ijayo ndo atakae toka TANZANIA PLEASE VOTE KAMA UNATAKA MSHIRIKI WA TANZANIA ABAKI KWENYE JUMBA HILO

1 comments:

  1. safi sana, hata nyuso zinaonyesha ni watu wenye heshima! mungu awatangulie

    ReplyDelete

Thank you for visiting our website

Wazoefu Computer Technology

Search This Blog

Please Share This

Thanks for Like and Tweet