Friday, 13 July 2012

Huko Jamaica hakutoshi

Baada ya kuona video mpya ya Mr.Vegas siku za karibuni, nikapata hamu ya kumfatilia zaidi.Leo nimekutana na video ya Remix ya wimbo wake wa BRUK IT DOWN aliyomshirikisha Alison Hinds...pata mambo
Kwa wale wapenzi wa muziki mtakua mnamkumbuka Mr.Vegas(mwenye miaka 38) enzi hizo alitamba sana na wimbo wake wa Heads High, ila kwa sasa tunaweza sema the dude amerudi,tena karudi kwa kishindo

No comments:

Post a Comment

Thank you for visiting our website

Wazoefu Computer Technology

Search This Blog

Please Share This

Thanks for Like and Tweet