Friday, 13 July 2012

P SQUARE wapata pigo

wanamuziki wa kundi la  Psquare linaloundwa na ndugu wawili Peter na Paul Okoye ambao wanatamba sana kwa sasa na wimbo wao wa "beautiful Onyinye"  wamepata pigo kubwa baada ya kufiwa na mama yao mzazi Mrs.Josephine Okoye mwenye miaka 60. Imeelezwa kwamba  mama huyo amefariki masaa matano  baada ya kufanyiwa operation huko India.
 Mrs.Josephine Okoye mama wa Psquare 
                                P sqare (Peter and Paul) 
Peter alimuelezea hivi mama yake "My mother will be greatly missed, not just because she was our mother, but because she played a vital role in the success story of P-Square."
Pole sana P square. May her soul rest in peace Amen....

3 comments:

  1. Juliana Muhangwa13 July 2012 at 02:08

    So sorry for your loss.

    ReplyDelete
  2. ooohno!may her soul rest in eternal peace! amen

    ReplyDelete

Thank you for visiting our website

Wazoefu Computer Technology

Search This Blog

Please Share This

Thanks for Like and Tweet