Saturday, 28 July 2012

TANZANIA ON THE OPENING OF LONDON OLYMPIC 2012

tah 27 mwezi july kulifanyika na sherehe za uzinduzi wa olympic mjini london ambapo nchi tofauti tofauti zilipita na flags  kurepresent their native countries bila kukosa tanzania nao walipita na bendera yao kama mnavyowaona pichani ooooh i was so happy kuwona watz wakiwakilisha nchi yetu so so proud of TANZANIA

Thursday, 26 July 2012

ZITTO KABWE: ASEMA URAISI USITUTENGANISHE


Kizitto Noya, Dodoma
WAKATI wabunge Halima Mdee na Joshua Nassari wakikanusha kumsafishia njia ya urais Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, mwenyewe ameibuka na kusema kelele hizo ni siasa, kwani anaamini kama urais upo, utakuja tu. Zitto alitoa kauli hiyo jana alipokuwa akihitimisha mchango wake katika Hoja ya Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia.

“…Hivi karibuni tulikuwa na tamasha Kigoma ambalo limezua mjadala mkali kuhusu suala la urais. Mimi niseme tu kwamba hizi ni siasa na zitapita,” alisema Zitto na kuongeza: “Lakini naamini kwamba kama urais upo utakuja tu na kama haupo hautakuja. Ila napenda kuweka wazi kwamba uwezo, uzalendo na uadilifu wa kuwa Amiri Jeshi Mkuu sina shaka ninao.” Awali, Zitto alifafanua suala hilo kwa taarifa aliyoiweka kwenye mtandao akieleza kuwa, asingependa kuhusishwa na matamshi ya wabunge hao kupinga walichosema Kigoma, kwa kuwa ukweli utajulikana. “Katika gazeti la Mwananchi la tarehe 23 Julai 2012, kulikuwa na habari yenye kusomeka 'Wabunge wamsafishia Zitto njia ya urais 2015'.

Habari hii imeleta mjadala mara baada ya kutoka na kusomwa. Mjadala umekuzwa zaidi baada ya Mdee na Nassari kukanusha maneno waliyonukuliwa kuyasema. Alisisitiza kuwa ukweli utajulikana kwa mkanda wa video uliorekodiwa kwenye hafla hiyo atakaouweka kwenye blogu yake hivi karibuni.

Zitto alisema Mdee, Nassari, Kangi Lugola, Esther Bulaya, Deo Filikunjombe, Raya Ibrahim, Amina Mwidau na David Kafulila walihudhuria Tamasha la Vijana wa Kigoma All Stars kwa kualikwa na Mratibu wa kundi hilo, Mwasiti Almasi na siyo kwa mwaliko wake.

Aliwataja wabunge wengine aliosema walialikwa kwenye hafla hiyo lakini hawakutokea, kuwa ni Joseph Mbilinyi, David Silinde, Amos Makala, Vicky Kamata na Peter Serukamba. “Wabunge hawa hawakualikwa na mimi (Zitto), bali nilisaidia 'logistics' tu. Lengo la kushauriana na Vijana wa Kigoma All Stars kuwaalika wabunge kutoka vyama mbalimbali lilikuwa ni kuonyesha umoja na mshikamano wa nchi bila kujali vyama vya siasa,” alisema.

Zitto alisema tamasha hilo lilikuwa la muziki na halikuhusika kabisa na siasa. “Ni bahati mbaya sana kuwa kuna matamshi ya kisiasa yalitamkwa katika shughuli ile.”

“Waheshimiwa wote walipewa nafasi ya kusalimia na wote walizungumza. Wabunge waliozungumza kwa muda mrefu kidogo ni ndugu Halima Mdee, Joshua Nassari, Deo Filikunjombe na Kangi Lugola. “Hotuba za wabunge wote zilirekodiwa kwenye video neno kwa neno na video hizo zitawekwa wazi kwenye blogu yangu kama sehemu ya documentary ya tamasha lile la kihistori. “Wabunge wenyewe wanajua kwenye nafsi zao nini walisema Kigoma na kipi kiliwasukuma kusema walioyasema Kigoma.

Nisingependa kuhusishwa kwa njia yeyote ile na matamshi yao, habari iliyowanukuu na hata makanusho yao. Maana mwisho wa siku ukweli ndiyo utasimama,” alisema. Zitto alionya “Suala la urais lisitupotezee muda kwani kuna mambo mengi sana ya kujadili kuhusu nchi yetu.

Taharuki ambazo watu wanazipata pindi masuala ya urais yanapotajwa, zinashangaza sana.” Zitto aliendelea kueleza kuwa chama chake Chadema hakijatangaza mchakato wa kupata mgombea urais na kitafanya hivi wakati mwafaka hivyo hakuna haja kugombana kwa hoja za urais sasa.

Kauli ya Mdee Alipotakiwa kuzungumzia mjadala huo jana, Mdee alikiri kuhudhuria hafla hiyo na kutoa maneno yaliyomliza Zitto lakini akasema hii ilitokana na historia yake kwenye siasa. “Maneno yangu hayakuwa na tatizo, shida ilikuwa ni context.

Ni kweli Zitto alilia kwa mimi kueleza namna alivyonilea kisiasa tangu nikiwa bado shule. Tatizo langu ni context tu.” Awali, Filikunjombe alipozungumza na gazeti hili kuhusu halfa hiyo alihoji: “Kwani tatizo ni nini? Hapa kuna habari ndugu… kuwa sehemu ya Tanzania kwa nini Kigoma isitoe rais?”

MREMBO WA WEEK .. SARAH




Happy belated birthday Mercy















Jana ilikua birthday ya baby Mercy, amefikisha mwaka mmoja.....happy belated birthday Mungu akukuze uwe na busara na baraka tele.
  

Tuesday, 24 July 2012

TEMBA FEAT BI CHEKA-MARIO

Huyu bb hunipaje raha mie wacha nicheke

IS KIM KARDASHIAN SET TO WED AGAIN?


The Gold digger kanye west inasemekana anataka kumuoa kim immediately kim akishapata divorce from his x husband kris humphries na dalili zimeonekana pale kanye west aliopotengeneza pete ya diamond na ruby from his late mamas jewelleries na kupoint kuwa hiyo itakua engagement ring ya kim baada tu ya divorce yao kuwa finalised

Thursday, 19 July 2012

NYUMBANI KWETU BLOG IS WISHING EVERYONE A HAPPY RAMADAN KAREEM, MUNGU AWE NANYI

hii je inakukumbusha wapi?

                             Ferooz ft Professor Jay- Starehe
Ferooz 
Huu wimbo enzi hizo ulibamba sana. Na ferooz alipata  zawadi sana  kutokana na wimbo huu. Album  ilikua inaitwa safari.Baada ya hii Album sijamsikia tena Ferooz. I wonder kapotelea wapi. Ila this guy was good kwenye game 

Wednesday, 18 July 2012

HAPPY BIRTHDAY THE LEGEND NELSON MADIBA MANDELA




Today Nelson Mandela is celebrating his 94th birthday anniversary
Johannesburg (CNN) -- South Africans celebrated Nelson Mandela's 94th birthday Wednesday by participating in good deeds nationwide to honor the legacy of the famous statesman.
The frail icon has not appeared in public for years, but he is celebrated worldwide on his birthday for his role in reconciling a country torn apart by apartheid.
In South Africa, citizens perform at least 67 minutes of public service on his birthday, a reference to the number of years he devoted to helping others.

                         HAPPY BIRTHDAY NELSON MANDELA

Tuesday, 17 July 2012

AFRICAN PRINT DRESSES ROCKS


                                          AMBER ROSE
                                           ESTELLE

SOLANGE
MONICA
                                                
                                           EVA MARCILLE

Monday, 16 July 2012

NUSU APOTEZE MAISHA KATIKA PROCESS ZA KUONGEZA MAKALIO

Vanity Wonder
before operation




'This size was not my goal': Vanity said after the illegal injections gave her an infection which meant she had to her bottom even bigger with silicone implants so it didn't look lumpy
after operation

hizo pics mbili ni za mwana dada vanity wonder one of the dancers ambaye liamua kuongeza makalio yake kwa kigezo cha kuwa na umbile zuri na lenye mvuto dada huyo aliyeojiwa kwenye kipindi cha this morning alidai altaka kufariki kufatia na operation zake za kuongeza makalio hayo
kisa ni kwamba first time walimuweka oversize ya matako kwa hiyo alitaka apunguzwe na kila operation alifanyiwa nine injections zilizomfanya apoteze fahamu mara kazaa. mwanadada vanity anawasihi wadada wengine walio natabia ya kuiongeza makalio waache kabisaa maana ni hatari kwa maisha yao


hizi ndizo hisia za Solo Thang kwa sasa

Solo Thang-Miss Tanzania
Usikilize wimbo huu katikati ya mistari, utaelewa mzee mzima alikua anamaanisha nini. Good work Solo. Follow him on twitter @TeamSOLOThang au mtembelee kwenye blog yake http://solothang.blogspot.com/ upate kujua vitu vipya direct kutoka kwake mwenyewe.

Friday, 13 July 2012

Huko Jamaica hakutoshi

Baada ya kuona video mpya ya Mr.Vegas siku za karibuni, nikapata hamu ya kumfatilia zaidi.Leo nimekutana na video ya Remix ya wimbo wake wa BRUK IT DOWN aliyomshirikisha Alison Hinds...pata mambo
Kwa wale wapenzi wa muziki mtakua mnamkumbuka Mr.Vegas(mwenye miaka 38) enzi hizo alitamba sana na wimbo wake wa Heads High, ila kwa sasa tunaweza sema the dude amerudi,tena karudi kwa kishindo

P SQUARE wapata pigo

wanamuziki wa kundi la  Psquare linaloundwa na ndugu wawili Peter na Paul Okoye ambao wanatamba sana kwa sasa na wimbo wao wa "beautiful Onyinye"  wamepata pigo kubwa baada ya kufiwa na mama yao mzazi Mrs.Josephine Okoye mwenye miaka 60. Imeelezwa kwamba  mama huyo amefariki masaa matano  baada ya kufanyiwa operation huko India.
 Mrs.Josephine Okoye mama wa Psquare 
                                P sqare (Peter and Paul) 
Peter alimuelezea hivi mama yake "My mother will be greatly missed, not just because she was our mother, but because she played a vital role in the success story of P-Square."
Pole sana P square. May her soul rest in peace Amen....

Wazoefu Computer Technology

Search This Blog

Please Share This

Thanks for Like and Tweet