Friday, 31 August 2012

Thursday, 30 August 2012

MAMA RWAKATALE AFUNGUA MJENGO WAKE RASMI......


huu ndo mjengo mpya wa mama rwakatale.. sonyeni kimya kimya eeeh
kweli dini inalipa aiseee me proud of u
kwaya za kumwagaaaaaaa
alitoa speech
mahanjumati mmmmmh
ZE KING BED
rev Getruda Rwakatale ambaye ni mmiliki shule za st marys nchini Tanzania na kanisa la mikocheni B assemblies of GOD  hatimaye amefungua nyumba yake mpya iliyoshudiwa na wahumini walioshiriki kwenye hafla hiyo fupi. muumin wa mungu mama Rwakatale amedhihirisha wazi kuwa kazi ya bwana imezaa matunda jamani am really proud of this woman she inspire me alot kweli wanawake tunaweza

INASEMEKANA TID APANGA NJAMA ZA KUMUUA ALLY KIBA; HOPE ITS NOT TRUE

TID



Jana kumevuma habari kuwa mwanamuziki wa Bongo Flava Khalid Mohamed aka Top In Dar, anashikiliwa na polisi baada ya kushutumiwa kuwa alipanga njama za kumuua msanii mwenzie Ali Kiba.
Leo kupitia chanzo chetu, meneja wa Ali Kiba amezungumza kutoa ufafanuzi kuhusu taarifa hizo zilizo zagaa mtaani.
Anasema ni kweli walipata ujumbe unaosema kuwa kuna watu waliokuwa wametumwa kwenda kumuua Ali Kiba.
"Baada sasa ya taarifa hizo kuifikia familia, iliamua kuripoti jambo hilo polisi, polisi walifika eneo lile na kulikuwa kuna watu wawili, mwanaume na mwanamke ambao walifika maeneo jirani na pale anapoishi Ali Kiba wakawa wameweka kambi pale kwa muda wakijaribu kupeleleza eneo lile.

Sasa baada ya watu wa karibu kuwaona na kutowatambua vizuri waliamua kuwafuatilia na kuwaweka chini baada ya kuwakamata.
Walipowahoji vizuri wakasema kwamba ni kweli wao wametumwa kuja kufanya jambo hilo hapo kwa Ali Kiba na wao sio wenyeji wa Dar es Salaam wametoka mikoani. Walipoulizwa ni nani ambaye amewatuma kuja kufanya hilo jambo wakawa wamemtaja TID Kwamba moja kwa moja yeye ndio anahusika.

Basi moja kwa moja gari la jeshi la polisi likaenda kumkamata TID na hatimaye kumfikisha kwenye kituo cha polisi cha kati ambapo yupo mpaka hivi sasa anashikiliwa."
Ameongeza kuwa TID na watu hao walikutana katika maeneo ya Mtoni Kijichi kupanga mpango huo wa kumuua Ali Kiba.
 
 
                                                 Ally kiba
                   habari kamili bofya hapa:kingjofa.blogspot.com

Sunday, 26 August 2012

Huyu ndie muigizaji atakayeigiza maisha ya Steve Jobs

Ashton Kutcher ndie muigizaji anatarajiwa kuigiza movie itakayohusu maisha ya Steve Jobs aliekuwa muanzilishi wa kampuni ya Apple aliyefariki tar 5 oct.2010.Movie hiyo itaitwa "JOBS" na inatarajiwa kutoka mwezi wowote mwakani.
             Steve Jobs kushoto na Ashton Kutcher kulia.
Hii project inapingwa sana na watu wengi, kwa sababu wengi hawauamini uwezo wa Ashton kuigiza maisha ya Jobs pia kutoamini uwezo wa  muandishi wa movie hiyo Matt Whiteley na director wake Joshua Michael Stern hivyo basi, Sony nao wanajiandaa kutoa movie inayomuhusu Steve Jobs itakayoandikwa na Aaron Sorkin ambae alishinda Tuzo za Oscar kwa kazi zake.


Saturday, 25 August 2012

USHER THE DRAMA BOY


Three Kings/WENN.com
Hivi karibuni Usher alikua na migogoro na mpenzi wake wa zamani tameka foster waliojaaliwa kupata watoto wawili, migogoro huo ulikua nani akae na watoto? maana kila mmoja alitoa sababu ya kutaka kuishi na watoto. usher alidai kuwa tameka is uncapable of raising the kids while tameka alisema usher hutumia drugs  mbele za watoto na yupo busy sana with clubbin hivyo hatwaangalia watoto kwa makini. baada ya court kuangalia malalamishi ya pande zote mbele imekubali usher akae na watoto muda mrefu na watashinda kwa tameka for few hours

Hali si shwari Haiti tuwaombee

Mvua na upepo mkali unaosababishwa na kimbunga kiitwacho "ISAAC" kinahatarisha maisha ya watu huko Haiti na visiwa vya Dominican.
                                               Hali ilivyo huko Haiti
 Watu wapatao 400,000 bado wanaishi kwenye mahema kutokana na earthquake ya 2010, kimbunga Isaac kinaweza kuleta madhara makubwa zaidi kwa watu hawa wasiokua na makazi.
Watu wakisali. Sala zetu pia twazielekeza Haiti Mungu awaepushe na balaa hili.
Picha na maelezo kutoka BBC



Thursday, 23 August 2012

RIHANNA KUFUNGUKA JUU YA UHUSIANO WAKE NA CHRIS BROWN KWENYE SHOW YA OPRAH


 
 
nimejaribu kuapload a better video for u guys ila imenishinda just look at the words that rihanna has opened up na uachane na mwehu anaeendelea kuongea hapo  after her  maana sijapata video yenye maneno mazuri na yaliosikika kama hiyo video hapo juu.... Rihanna anadai kwamba tangu ameachana na chris anahisi bado anampenda though chris anademu wake na yeye hana mtu na she feels so lonely  hayo ni maneno ya RI-RI just so lovely n touching hadi katoa chozi mrembo huyu kweli Ally kiba hajakosea alivyosema mapenzi yana run duniiiiiiiiiiiiia 

★★★ XTREME SUNDAY NITE THIS SUN 26.08.12] ★★★


 

 ★ ALSO WITH SOME AMAZING COCKTAILS, AWESOME MUSIC & THE BEST ATMOSPHERE @ 9JA BAR

★ MUSIC.AFROBEAT,BASHMENT,RNB,OLDSKUL,SOCA,UK FUNK/ HOUSE & REGGAE + MANY MORE.

*NEWS FOR LADIES....

★ FREE FIRST DRINK FOR THE FIRST 15 LADIES

★ FREE .BOTTLE OF WINE FOR GROUP OF 5 LADIES BEST DRESSED ON THE NIGHT.

▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬
FREE ENTRY BEFORE 12 AM £5 AFTER

come early to avoid disappointment

★★★ DJ'S LINE UP ★★★

★ BONGODEEJAYS

★ TOP CITY SOUNDS DEEJAYS

★ DEEJAY BARRY

VENUE ---9JA BAR
NO 8 QUEENS WALK
READING RG1 7QF
OPP THE HEXAGON READING

Monday, 20 August 2012

Sunday, 19 August 2012

FEROOZ FEAT SHAZ DEAR- NDEGE MTINI

wanasema -natiririka natiriki hivi natiririka natirika hivii sharobaro kakatiza mitaa ta tandika.........cant stop listening to this tune ferooz comes and go BIG UP

happy belated birthday RITHA


Friday, 17 August 2012

Mtu kwao jamani....

Dully sykes-Mtoto wa Kariakoo
Hapa Dully anaipa heshima sehemu iliyomlea.Na huu wimbo ukiusikiliza lazima utajikuta unashake tu hata kichwa....So many reasons za kumuita The Legend wa Bongo Fleva. 

New Video: nicki minaj pound the alarm


Techno imefika mahali pake, hata kama hupendi utasikiliza tu since wanamuziki wote wakubwa wanaimba style hii, kwa mfano Rihanna-where have you been, Chris Brown- dont wake me up, Nicke Minaj ft David Guetta-Turn me on na wengineo. It seems like Nicki amekaa hapa kidogo. By the way David Guetta ndie aliyyeleta mapinduzi haya..enjoy the video

Thursday, 16 August 2012

THE LOVE IS ON AIR..... ONCE AGAIN



wale wapenzi walioachana kwa mbwembwe hivi karibuni. hapa tunamzungumzia wema na almasi penzi lao limeonekana kurudi upya kama zamani kwa sababu sasa hivi wanaonekana sehemu mbalimbali wakiwa pamoja hususani katika nyimbo yao mpya ya kigomaa sasa sijui yule shosti uso kauweka  wapi all the best wema na almasi sasa twataka ndoa na sio show off




  

HAIR DO MATATA

The Queen of colour Nikki Minaj looks the chalk look and is always adding a burst of colour to her hair

Tuesday, 14 August 2012

kama ulikosa kumuona Zembwela kwenye Mkasi

Haya ni moja kati ya mahojiano ambayo watu wengi wameyasifia mitandaoni hasa Twitter. Ukitaka kujua sababu angalia mwenyewe ndio utaenjoy zaidi...wiki hii alikua anahojiwa Diamond so stay tuned kujua ameongelea nini

Saturday, 11 August 2012

hii inakukumbusha wapi?

Bijou-Dully Sykes
 Huu wimbo ulibamba sana enzi hizo. Huyu ni moja kati ya wasanii wa kibongo wanaofanya mabadilio kwenye bongo fleva. Na nyimbo zake zinachezeka mazee!!!enjoy your weekend kizilipendwa namna hii.

Thursday, 9 August 2012

NAOMI CAMPBELL KANYONYOKAJE NYWELE... KAMA WABONGO WANAOPENDA KUSUKA NYWELE ZA KIMASAI



When extensions go wrong: Naomi Campbell displayed shocking bald patches as she holidayed in Ibiza earlier this week

Yote hayo ni kwa ajili ya kupenda kushonea maextension rather than kuachia nywele zao for sometyms sasa naomi mwenzenu kaumbukaje huko ibiza alikokwenda kiholiday hehehhe alisema kuwa most of her career life amekua akivaa extensions ambazo zimemuharibu sana ushauri mdogo tu kwa madada wa kiafrika tujaribu kuachia nywele zetu sometimes zipate hewa

LEKA DUTIGITE-KIGOMA ALL STAR

cheki song lilivyosimama wallahi kigoma imetoa wasanii ndani ya video hiyo kuna diamond platnum, ommy dimpoz, peter msechu, banana zoro, chege nk ebu jitazamie mwenyewe bana kwani nini uhadisiwe....BIG UP TO ALL KIGOMA STARS

Wednesday, 8 August 2012

WAKAMEROON WALIOKUJA OLYMPIC KUZAMIA NCHINI UINGEREZA


uwiiii sijui ni aibu  au sijui ni dhiki  za waahrica jamani wanaolympic saba wamepotea ghafla kwenye kijiji cha olympic kwa madai ya kuzamia nchini uingereza ili wasirudi kwao cameroon
  inasemekana wanaume sita na mwanadada mmoja waliokuja kwenye michezo ya olympic wengine walikuja kwa ajili ya mashindano ya kukimbia na wengine kwa ajili ya mashindano ya kuogolea. kocha wamichezo wa cameroon aliongea na the sun gazeti la uingereza na kusema kuwa wanamichezo hao hawajaaga walipoenda na vyumba vyao vipo empty......hehhhehehh people want to stay at malkia's country so hillarious....

Tuesday, 7 August 2012

QUEEN OF POP LADY GAGA APATA MALOVEDAVE KWENYE SWIMMING POOL; UTAMU KOLEA

     lady gaga aka queen of pop just posted this pic akiwa anapata malovedavu kutoka kwa jamaa yake taylor yani nilikua sijawahi fikiria huyu dada anaweza kuwa na boyfriend haaaa kazidi ukicha sana any way enjoy mamaa
NEVER SEEN THIS CHIC DECENT BEFORE as she looks on this pic so alegant n decent I LOVE IT  the dress ila viatu vyeupe mmmmh not my test lol

Monday, 6 August 2012

ROCHELLE AND MARVIN'S BIG DAY


 


hivi karibuni rochelle muibaji wa the saturday group na marvin from jls boy band wamefunga pingu ya maisha baada ya mapenzi yao kua yenye migogoro migogoro sana lakini walivumiliana finally the wedding day arrived n they both look happy. wishing u the happiest momet of your love and cherrish the good things you do to eacha other


Sunday, 5 August 2012

THE WINNER OF BIG BROTHER........KAEGAN

ushaiona hii video ya Baby J ft Ali Kiba-BWASHEE?

Baby J na mzee mzima Ali K hakijaaribika kitu. Ila hivi hawa wanaoedit hizi video wanashindwa kukata hiyo sound  mwanzoni mwa video? Maana hii ipo kwenye video nyingi za kibongo na inaharibu kwa kweli. 

Wednesday, 1 August 2012

Ukikosa idea ya mshono pitia hapa














Siku hizi nguo za kanga na kitenge a.k.a B2A  zimerudi kwa kasi...ukitaka kushona  tembelea page hii facebook unaweza kupata wazo jinsi ya kumuelekeza fundi  na kujua hapo baadae uipangilie vipi. https://www.facebook.com/media/set/?set=a.10150506536639642.394641.329115514641&type=1 

Wazoefu Computer Technology

Search This Blog

Please Share This

Thanks for Like and Tweet